1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Papa atembelea mtaa wa mabanda Kenya

27 Novemba 2015

Akiwa katika mtaa wa mabanda wa Kangemi, Papa aliwahimiza viongozi kuhakikisha wakaazi wa mitaa ya aina hiyo wanapata huduma za kimsingi sawa na watu wengine. Aidha, amekemea ufisadi na ukabila.

https://p.dw.com/p/1HDRh
Papa Francis jijini Nairobi
Picha: Getty Images/AFP/C. de Souza

[No title]