OTTAWA:Bush ahudhuria mkutano nchini Canada | Habari za Ulimwengu | DW | 21.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

OTTAWA:Bush ahudhuria mkutano nchini Canada

Rais G.W Bush wa Marekani yupo nchini Canada ambapo amekutana na waziri mkuu wa nchi hiyo pamoja na rais Felipe Calderon wa Mexiko kuzumngumzia juu ya usalama wa mipaka na biashara baina ya nchi zao.

Lakini polisi ya Canada imesema watu alfu 2 walifanya maandamano kupinga mkutano wa viongozi hao.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com