1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

OSNABRÜCK:akamatwa kwa kueneza propaganda ya al-Kaida

11 Oktoba 2006
https://p.dw.com/p/CD44

Mtu anaetuhumiwa kuwaunga mkono magaidi wa mtandao wa al- Kaida amekamatwa katika mji wa Osnabrück nchini Ujerumani.

Baada ya uchunguzi wa miezi kadhaa mtu huyo ambaye ni mwirak alitiwa mbaroni na idara za usalama kutokana na tuhuma za kueneza propaganda ya mtandao wa alkaida .