Odinga: Serikali inapanga kuiba kura | Matukio ya Afrika | DW | 11.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Odinga: Serikali inapanga kuiba kura

Muungano tawala wa Jubilee Kenya umejadili malalamiko ya upinzani kwamba serikali inapanga kuiba kura mwakani. Wabunge wa Jubilee wameitaja kauli ya Raila Odinga wa upinzani kuwa dalili ya kushindwa.

Sikiliza sauti 02:49

Sikiliza ripoti ya Alfred Kiti kutoka Nairobi

Sauti na Vidio Kuhusu Mada