Njaa tishio kwa zaidi ya watu milioni Sudan Kusini | Mada zote | DW | 08.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Njaa tishio kwa zaidi ya watu milioni Sudan Kusini

Zaidi ya watu milioni 1.2 Sudan Kusini wananyemelewa na baa la njaa, Mazungumzo ya Uingereza kujitoa katika Umoja Ulaya yanatoa mwelekeo wa kuingia awamu ya pili na Chama cha Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel CDU kitafanya mazungumzo ya awali ya kuunda serikali pamoja na SPD.

Tazama vidio 01:56