1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nil-Interview

Kabogo Grace Patricla8 Desemba 2009
https://p.dw.com/p/KxTh
Boti zikielea katika Mto Nile huko, Aswan, Misri.Picha: picture-alliance/ dpa

MODE:


Mkutano kuhusu ushirikiano katika Bonde la Mto Nile unamalizika hii leo jijini Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huo ambao umeenda sambamba na maadhimisho ya miaka 10 ya ushirikiano huo unazungumzia zaidi kuanzishwa kwa uhusiano wa kudumu katika matumizi ya maji ya Mto Nile kwa kuzingatia misingi ya sheria za kimataifa. Nilizungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji nchini Tanzania, Profesa Mark Mwandosya na alianza kwa kuelezea chanzo hasa cha kuanzishwa ushirikiano katika bonde la mto Nile.

Insert:

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Prof. Mark Mwandosya

Mhariri:Abdul-Rahman