1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nigeria: ndoto za vijana walioacha shule

Yusra Buwayhid
2 Mei 2017

Isaac Success Omoyele alitoroka shule mara kadhaa. Maisha yake yalibadilika baada ya kupata msaada wa masomo. Leo hii anawasaidia watu walioathirika na kitisho cha kundi la kigaidi la Boko Haram pamoja na wasichana kumaliza shule mjini Lagos.

https://p.dw.com/p/2cFHq

Isaac Success Omoyele amekulia katika mtaa wa mabanda wa Ajegunle jijini lagos. Alitoroka shule mara kadhaa. Maisha yake yalibadilika baada ya kupata msaada wa masomo. Leo hii anataka kuisaidia jamii yake. Anawasaidia watu walioathirika na kitisho cha kundi la kigaidi la Boko Haram pamoja na wasichana kumaliza shule mjini Lagos.