1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Niger: kituo cha redio chapigania haki za jamii

5 Januari 2016

Chatou Mahamadou huapa watu waishio mjini Niamey na maeneo ya karibu fursa ya kuzungumza. Mwanaharakati huyo wa haki za binadamu kutoka Niger anafanya kazi katika 'Jukwaa la Umma'', asasi ya kiraia inayoendesha kituo cha redio. Mahamadou hutumia fursa kuzungumzia mambo anayotaka yabadilike, na kuishinikiza serikali.

https://p.dw.com/p/1HYJS