1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Nicki Minaj atoa ofa kwa wanachuo Twitter

Elizabeth Shoo9 Mei 2017

Sema Uvume inaangazia stori ya rapper Nicki Minaj aliyejitolea kuwalipia gharama za chuo baadhi ya wanafunzi waliomwonyesha matokeo yao kupitia Twitter. Mada nyingine ni namna wanasiasa wanavyochafuliwa majini kupitia mitandao ya kijamii.

https://p.dw.com/p/2cfZQ