1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ngoma ya Kidumbaki kutoka Zanzibar

Salma Said14 Desemba 2011

Miongoni mwa ngoma zinazopigwa kwenye shughuli mbalimbali za kijamii, hasa harusi, visiwani Zanzibar ni ile ya Kidumbaki, ambayo ni mchanganyiko wa ala za muziki na ngoma halisi za Kiafrika.

https://p.dw.com/p/13Sbl
Kikundi cha ngoma za Afrika
Kikundi cha ngoma za AfrikaPicha: AP

Salma Said anazungumzia ngoma ya Kidumbaki yenye asili ya visiwa vya Zanzibar, ikiwa ni mchanganyiko wenye asili za mataifa mbalimbali ndani yake.

Mtayarishaji/Msimulizi: Salma Said
Mhariri: Othman Miraji