Katibu mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-Moon,akianza mhula wake wa pili madarakani,amesema anataka kuwasaidia watu waliotokana na wimbi la mageuzi katika nchi za kiarabu,waendeleze na kuimarisha uhuru na demokrasia
Sikiliza Taarifa ya Habari asubuhi ya leo hapa
Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak anatazamiwa kukutana leo Jumatano na Kansela Olaf Scholz nchini Ujerumani. Baraza la Seneti la Marekani laidhinisha msaada wa mabilioni ya dola kwa Ukraine, Israel na Taiwan. Ujumbe wa Mawaziri wa Korea Kaskazini wameanza ziara ya nadra nchini Iran.
Mpango wa Uingereza kuwapeleka wahamiaji nchini Rwanda waidhinishwa na Bunge. Rais wa Poland asema nchi yake iko tayari kupokea na kuhifadhi silaha za nyuklia za NATO. Viongozi wa Afrika watoa wito wa ushirikiano ili kupambana na ugaidi barani humo.