NEW YORK: Kura rasmi kumchagua mrithi wa Annan | Habari za Ulimwengu | DW | 06.10.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NEW YORK: Kura rasmi kumchagua mrithi wa Annan

Waziri wa nje wa Korea ya Kusini Ban Ki-Moon,ni mgombea pekee aliebakia kuwa mrithi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,Kofi Annan.Baada ya Ban Ki-Moon kufanikiwa katika kura ya majaribio kwenye Baraza la Usalama,wagombea wengine wamejitoa katika kinyanganyiro hicho.Siku ya Jumatatu,kura rasmi itapigwa kumchagua mrithi wa Annan.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com