N′DJAMENA:Ndege ya abiria yatekwa N′djamena | Habari za Ulimwengu | DW | 24.01.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

N'DJAMENA:Ndege ya abiria yatekwa N'djamena

Ndege moja ya abiria imetekwa nyara na kuelekezwa katika mji mkuu wa Chad wa N’djamena kulingana na duru za serikali.Mpaka sasa hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa kuhusu utekeji huo.Haijulikani idadi kamili ya abiria waliokuwemo kwenye ndege hiyo au watekaji wenyewe.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com