1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NASA wakosa imani na IEBC kuhusu mipaka

Lilian Mtono
7 Machi 2018

Tume ya uchaguzi na mipaka ya Kenya, IEBC imeanza maandalizi ya kuratibu mipaka upya. Lakini muungano wa upinzani NASA umedai kutokuwa na imani na tume hiyo kwa kuzingatia rekodi yake kwenye uchaguzi uliopita. Isaac Gamba alizungumza na mchambuzi wa siasa za Kenya Herman Manyora kuhusu wasiwasi huu.

https://p.dw.com/p/2tstg