1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

NAIROBI:Wakimbizi warejea kwao

1 Juni 2007
https://p.dw.com/p/CBvw

Takriban robo ya wakimbizi laki nne waliotoroka Mogadishu nchini Somalia mapema mwaka huu wamerejea.Wakimbizi hao walitoroka mapigano hayo kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi UNHCR.Hata hivyo maisha katika mji huo mkuu ni magumu kwani unakabiliwa na uhaba wa maji na umee vilevile mrundiko wa taka kwenye barabara za mji linaongeza shirika hilo.