1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Nafasi ya Fasihi Simulizi kwenye malezi ya Waswahili

Mohammed Khelef
21 Machi 2018

Kwenye sehemu hii ya Kiswahili Kina Wenyewe, mwanafunzi wa shahada ya uzamifu katika Chuo Kikuu cha Mtakarifu John cha Dodoma nchini Tanzania, Shadidu Ndossa, anazungumza na Mohammed Khelef juu ya dhima ya fasihi simulizi kwenye malezi ya Waswahili na changamoto zinazoikabili fasihi hiyo katika zama hizi za mawasiliano mapya.

https://p.dw.com/p/2uhoD