1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mzozo wa Lipumba na CUF Zanzibar waendelea

8 Machi 2017

Baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Ibrahim Lipumba kutengua uteuzi wa wakurugenzi wa chama, CUF imesema Lipumba hana mamlaka ya kufanya hivyo wala Naibu katibu mkuu bara, Magdalena Sakaya.

https://p.dw.com/p/2Yov4
Ramani ya Zanzibar
Picha: DW

J2 08.03 CUF - MP3-Stereo