Mwili wa Wangari Maathai kuchomwa moto. | Masuala ya Jamii | DW | 04.10.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mwili wa Wangari Maathai kuchomwa moto.

Marehemu Profesa Wangari Maathai aliyefariki wiki iliyopita anatazamiwa kuchomwa moto mwishoni mwa wiki hii, kama alivyousia mwenyewe kabla ya kifo chake.

default

Mwanzilishi wa Taasisi ya Greenbelt, Wangari Maathai

Mshindi huyo wa tuzo ya Nobel alifariki akiwa na umri wa miaka 71 baada ya kuugua saratani. Kwa mujibu wa uongozi wa Taasisi yake ya Greenbelt, misa maalum ya binafsi itafanyika siku ya Jumamosi na miti 5,000 itapandwa kote nchini Kenya kwa heshima yake. Je raia wa Kenya wanahisia gani kuhusu maombi ya marehemu Profesa Maathai? Sikiliza ripoti ya mwandishi wetu wa Nairobi, Alfred Kiti.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 04.10.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/12lHj
 • Tarehe 04.10.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/12lHj

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com