1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwandishi mpekuzi wa Ghana

8 Septemba 2015

Pale wenye madaraka wanapodhani kwamba wanaweza kufunika ukweli unaowauma, na kisha wakasema ''Ushahidi uko wapi'', Anas Aremeyaw Anas huja na ushahidi huo. Mwandishi mpekuzi huyo wa Ghana amejitolea kupambana na ufisadi na ukiukaji wa haki za binadamu.

https://p.dw.com/p/1GTA4