1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwandishi mpekuzi wa Ghana

3 Desemba 2015

Anas Aremeyaw Anas amejitolea kupambana na ufisadi na ukiukaji wa haki za binadamu. Hata hakuogopa kuhukumiwa kifungo yeye mwenyewe, ili aende jela kufichua hali mbovu katika magereza ya Ghana.

https://p.dw.com/p/1HGFy
Africa on the Move Anas Aremeyaw Anas
Picha: DW

Mwandishi mpekuzi wa Ghana