1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Vyombo vya habari

Mwakyembe: 'Sijamuona mwandishi anayefuatwa, ni porojo'

3 Mei 2017

Katika mahojiano na DW, Waziri wa Habari wa Tanzania, Harrison Mwakyembe, amekanusha madai kwamba waandishi wa habari Tanzania wanahofia kufuatiliwa au kunyanyaswa na serikali na kusema hakuna mbinyo wa uhuru wa habari.

https://p.dw.com/p/2cI4K
Waziri wa Habari Tanzania, Harrison Mwakyembe
Picha: DW/P. Kwigize

J3.04.2017Tanzania: Press freedom - MP3-Stereo