1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mwaka mmoja tangu uchaguzi wa Marekani

Daniel Gakuba
8 Novemba 2017

Novemba 8, 2017 ulimitia mwaka mmoja tangu uchaguzi wa rais nchini Marekani, uliompa Donald Trump ushindi usiotarajiwa. Umekuwa mwaka wa misukosuko na maamuzi ya kushangaza. Katika kipindi hicho, Rais Donald Trump amepata mafanikio gani, na nini hali ya kisiasa chini ya uongozi wake? Daniel Gakuba amezungumza na Profesa Patrick Nigula, mhadhiri katika chuo kikuu cha South Carolina nchini Marekani.

https://p.dw.com/p/2nHb2