1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mvua Kubwa nchini Kenya baada ya ukame wa muda mrefu

19 Oktoba 2009

Nchini Kenya mvua kubwa zinaendelea kunyesha hali ambayo inaweza kusababisha kutokea kwa El-Nino.

https://p.dw.com/p/KAHD
Ukame uliosababisha mpaka ng'ombe kufaPicha: picture alliance / dpa

Grace Kabogo amezungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo ya Kenya, Dr. Romano Kiome na alianza kwa kuelezea jinsi hali ilivyo kutokana na mvua hizo kubwa.

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Dr Romano Kiome

Mpitiaji: Abdul-Rahman