Museveni na Kabila wajadili usalama | Matukio ya Afrika | DW | 05.08.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Museveni na Kabila wajadili usalama

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, na mwenzake wa DRC, Joseph Kabila, wamekubaliana kushirikishana taarifa za kijasusi ili kupambana na makundi ya waasi kama M23 na ADF. Wamekutana katika mbuga ya wanyama DRC.

Sikiliza sauti 02:28

Ripoti ya John Kanyunyu kutoka DRC

Sauti na Vidio Kuhusu Mada