1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Museveni kuongoza mazungumzo ya amani Sudan Kusini

Rais wa Uganda amekubali kuwa mpatanishi wa mgogoro wa Sudan Kusini baada ya kupokea ombi kutoka kwa ujumbe wa watu 15 wa kiongozi wa waasi Sudan Kusini, Riek Machar, uliomtembelea hivi karibuni.

Sikiliza sauti 02:37

Sikiliza mahojiano kati ya Sudi Mnette na mchambuzi Akol Amazima

Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi Akol Amazima aliyeko Kampala, Uganda, na kwanza akataka kujua anaizungumziaje hatua hiyo mpya ya rais Museveni.

Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada