1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Museveni ajitetea matumizi makubwa kwenye kampeni

Sudi Mnette26 Januari 2016

Taarifa kwamba Rais Yoweri Kaguta Museveni ameitisha harambee ya kukusanya shilingi bilioni 300 za Uganda kwa ajili ya miradi ya maendeleo imepokelewa kwa hisia tofuati katika kipindi ambacho uchaguzi mkuu tarehe 18 Februari ukikaribia naye akitajwa kutumia fedha nyingi kwenye kampeni hizo. Mchambuzi Akol Amazima anazungumza na DW juu ya hilo.

https://p.dw.com/p/1HjNT