Mtindo wa vijana kutembea ′wakidunda′ | Mada zote | DW | 07.12.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mtindo wa vijana kutembea 'wakidunda'

Je mtindo wako wa kutembea ni upi? Mtindo huo umetokana na nini na unaakisi nini kukuhusu? Katika makala ya Vijana Mchakamchaka, Jacob Safari anaangazia mtindo wa vijana kutembea wakidunda.

Sikiliza sauti 09:45