1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Msikiti wa kiliberali Ujerumani

John Juma
22 Juni 2017

https://p.dw.com/p/2fC55

Msikiti wa kiliberali ambao umeanzishwa mjini Berlin unawaruhusu watu wote waume kwa wanawake kuchanganyikana wanaposwali, huku wanawake wakiruhusiwa kuwa maimamu na hata kuadhini, na si lazima wafunike vichwa kwa mitandio. Hata hivyo msikiti huo umezua utata mwingi ndani na nje ya Ujerumani, huku baadhi ya viongozi wa kidini wakisema unaenda kinyume na uislamu. Tazama vidio hii ujue mengi