1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mshindi ni Said Suleiman kutoka Mwanza Tanzania!

27 Agosti 2009

Hii leo mtu wa 1,000 kujisajili kwa ajili ya kupokea taarifa zetu fupi za habari amepatikana! Yeye ndiye mshindi atakayepokea zawadi nono kutoka hapa Deutsche Welle.

https://p.dw.com/p/JJdL
Josephat Charo amezungumza naye kwa njia ya simu muda mfupi uliopita. Unataka kumjua ni nani na anatoka wapi? Sikiliza mahojiano!