1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msanii Fid Q azungumzia matarajio yake ya 2018

Lilian Mtono
5 Januari 2018

Kutana na msanii wa muziki wa kizazi kipya ama "Bongofleva" nchini Tanzania, Farid Kubanda maarufu Fid Q, akielezea matarajio yake kwa mwaka huu wa 2018 kwenye video hii.

https://p.dw.com/p/2qPgn