1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mradi wa Ndoto ya Kisenegali

Zainab Aziz
12 Februari 2018

Fanta Diallo mwenye umri wa miaka 31 ana matumaini kwamba vijana zaidi nchini mwake Senegal wataanza kuona fursa zinazopatikana katika nchi yao badala ya kudanganywa na wazo la kufanya kazi barani Ulaya. Ametokea kwenye maisha ya kawaida hadi kuwa

https://p.dw.com/p/2sWUp