1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Moto wateketeza soko la Gikomba, Nairobi

Daniel Gakuba
6 Oktoba 2017

Moto mkubwa umeteketeza soko maarufu la Gikomba mjini Nairobi, Tuzo ya amani ya Nobel mwaka 2017 imekwenda kwa taasisi inayopiga kampeni dhidi ya silaha za nyuklia, Catalonia imesogeza hadi Jumanne, kikao cha bunge lake chenye utata ambacho yumkini kingetangaza uhuru wa jimbo hilo, Kimbunga chauwa watu saba Kaskazini mwa Ujerumani. Papo kwa Papo.

https://p.dw.com/p/2lOOe