1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

MOSCOW: Waziri Mkuu mpya atagombea urais Urusi

Rais wa Urusi,Vladimir Putin amesema,Viktor Zubkov alieteuliwa hivi karibuni kuwa waziri mkuu mpya,atagombea uchaguzi wa rais.Kwa mujibu wa Putin,Zubkov ni mmoja kati ya wagombea 5 wa urais,katika uchaguzi utakaofanywa mwezi wa Machi mwaka 2008.Siku ya Ijumaa,bunge lilimuidhinisha Zubkov kuchukua nafasi ya waziri mkuu aliengatuka madarakani,Mikhail Fradkov.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com