1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Moscow. Watu 10 wauwawa kwa mlipuko.

14 Mei 2007
https://p.dw.com/p/CC27

Shirika la habari la Russia limesema kuwa kiasi watu 10 wameuwawa katika mlipuko uliotokea katika mkahawa katika mji wa Orsk kusini mwa milima ya Ural.

Shirika hilo limesema kuwa polisi bado wanachunguza sababu ya mlipuko huo. Orsk uko karibu na mpaka wa Russia na Kazakhstan.