MOGADISHU: Waziri mkuu wa Ethiopia azuru Somalia | Habari za Ulimwengu | DW | 06.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

MOGADISHU: Waziri mkuu wa Ethiopia azuru Somalia

Waziri mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi amezuru mji mkuu wa Mogadishu ma kufanya mazungumzo na rais wa mpito wa Somalia Abdullahi Yusuf pamoja na viongozi wengine.

Ziara ya waziri mkuu Meles Zenawi iliwekewa ulinzi mkali na aliondoka masaa machache baadae.

Hakuna habari zilizo tolewa kuhusu mazungumzo ya viongozi hao.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com