1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkuu wa shirika la wakimbizi la Umoja wa Mataifa azuru mashariki mwa Kongo

Josephat Nyiro Charo23 Julai 2010

Antonio Guterres akutana na mkuu wa shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa, WFP

https://p.dw.com/p/OTQy
Antonio Guterres, mkuu wa shirika la wakimbizi la UNHCRPicha: dpa

Kamishna mkuu wa shirika linalowashughulikia wakimbizi, UNHCR, Bw Antonio Guteress akiandamana na kiongozi wa shirika la chakula duniani, WFP, Bibi Jossette Sheeran walikizuru kijiji cha Nyanzane wilayani Rituru, Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo kukutana na wakimbizi wa ndani. Ziara hiyo ilifanyika huku mapigano yakishamiri huko Kivu kaskazini. Mwandishi wetu John Kanyunyu anipoti kutoka mashariki mwa Kongo.

Mwandishi: John Kanyunyu

Mpitiaji; Peter Moss

Mhariri, Josephat Charo