1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa wakuu wa Idara za kudhibiti madawa ya kulevya nchini Tanzania

10 Julai 2007

Wakuu wa Idara za kudhibiti madawa ya kulevya kutoka majeshi ya polisi barani Afrika wamekutana mjini Arusha nchini Tanzania. Lengo hasa la mkutano huo ni kutathmini athari za madawa ya kulevya, mbinu za kuyasafirisha kutoka bara moja hadi jengine.

https://p.dw.com/p/CHBG

Mataifa ya Afrika hususan ya eneo la magharibi yanalengwa zaidi na wauzaji dawa za kulevya mfano Guniea Bissau. Guinea Bissau ina visiwa vingi kwenye eneo lake la pwani visivyokuwa na wakaazi wowote.

Mwandishi wetu Charles Ngereza kutoka Arusha alihudhuria mkutnao huo na kuandaa taarifa ifuatayo.