1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa usalama kufanyika kesho mjini Munich

Josephat Charo9 Februari 2007

Urusi na mataifa ya magharibi yanatariwa kujadili kwa kina maswala ya nishati ya silaha kwenye mkutano wa kitaifa kuhusu usalama utakaofanyika kesho mjini Munich hapa Ujerumani. Rais wa Urusi Vladamir Putin anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa 43 kuhusu usalama kama mshirika wa matafa ya magharibi na ambaye sera zake za kisiasa zimekuwa zikilitiliwa shaka.

https://p.dw.com/p/CHKT
Rais Vladamir Putin wa Urusi
Rais Vladamir Putin wa UrusiPicha: AP