1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa UNDP mjini Kongo Brazaville

26 Aprili 2007

Mkutano wa mwaka wa Umoja wa mataifa juu ya maendeleo ya kudumu barani Afrika umefanyika mjini Kongo Brazaville.

https://p.dw.com/p/CHFQ

Mkutano huo wa siku tano ulifunguliwa na naibu katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bibi Asha Rose Migiro.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti zaidi.