1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Umoja wa Afrika na Ulaya kuhusu usalama unaofanyika Addis Abeba

18 Aprili 2007

Umoja wa Afrika kwa ushirikiano na Umoja wa Ulaya umeandaa mkutano wa siku tatu mjini Addis Abeba, Ethiopia unaolenga kutafuta mkakati wa pamoja kwa ajili ya kupunguza athari za mabomu ya kutegwa ardhini na kuenea kwa silaha ndogo ndogo barani Afrika.

https://p.dw.com/p/CHFz
Wafanyakazi wakisaka mabomu yaliotegwa Ardhini nchini Angola
Wafanyakazi wakisaka mabomu yaliotegwa Ardhini nchini AngolaPicha: PA/dpa
Mwandishi wetu Anaclet Rwegayura kutoka Addis Abeba anaripoti zaidi.