1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Maaskofu wa Kanisa la Anglikan wamalizika Dar es Salaam

20 Februari 2007

Maaskofu wakuu wa kanisa la Anglikan duniani wanamaliza mkutano wao huko Dar es Salam nchini Tanzania huku ikiarifiwa kuwa tamko la pamoja juu ya suala la ushoga ndani ya kanisa, linakuwa gumu.

https://p.dw.com/p/CHJt

Suala la ushoga na usagaji ndiyo iliyokuwa ajenda kuu katika mkutano mkuu wa kanisa hilo uliyoanza siku tano zilizopita. Hiyo inafuatia mvutano uliyosababishwa na kanisa la Anglikan la marekani kuwa na askofu shoga, Robinson.

Kutoka Dar es Salaam Mwandishi wetu Badra Masoud anaripoti zaidi.