1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa Kim na Trump huenda usifanyike

Grace Kabogo
16 Mei 2018

Mkutano kati ya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un na Rais wa Marekani Donald Trump huenda usifanyike kama Marekani itaendelea kuishinikiza iachane na mpango wake wa nyuklia.

https://p.dw.com/p/2xnsr