1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa IGAD nchini Uganda

30 Mei 2007

Mkutano wa jumuiya ya nchi za IGAD wa kujaribu kutafuta njia za kuwapokonya slaha wafugaji wa mifugo wa ncho zilizo kwenye jumuiya hiyo unamalizika leo hii nchini Uganda.

https://p.dw.com/p/CHDT

Mkutano huo ulianza rasmi siku ya Jumatatu katika mji wa Entebbe.

Mwandishi wetu Omar Mutasa alizungumza na Silver Kayemba mkuu wa operesheni za kijeshi na mafunzo katika jeshi la wananchi la Uganda na kwanza alimuuliza ni mambo gani yaliyojadiliwa.