Mkutano wa siku 5 wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na makao ya binaadamu Habtiat umeanza hii leo mjini Nairobi,Kenya na unajadili jinsi ya kukabiliana na tatizo la ukosefu wa nyumba kwa wakaazi wa sehemu za mijini.
https://p.dw.com/p/CHGB
Matangazo
Mwandishi wetu Mwai Gikonyo kutoka Nairobi anaripoti zaidi.