1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mkutano wa BRICS wafanyika Afrika Kusini

26 Machi 2013

Nchini Afrika Kusini leo hii (26.03.2013) kunaanza mkutano wa mataifa matano unaojulikana kama BRICS kujadliwa masuala ya kiuchumi.

https://p.dw.com/p/184EV
Mkutano wa BRICS 2013 huko Durban, Afrika Kusini
Mkutano wa BRICS 2013 huko Durban, Afrika Kusini

Mkutano unaoyaleta pamoja mataifa matano yanayoibuka kuwa nguvu kubwa ya kiuchumi Brazil,Urusi,India China na Afrika Kusini yanayojulikana kama BRICS, unaanza leo nchini Afrika kusini huku viongozi wa matifa hayo wakitarajiwa kujadili masuala ya kiuchumi yatakayoupa muungano huo nguvu zaidi . Caro Robi amezungumza na mwanauchumi Ali Mutasa na kwanza alimuuliza kundi hilo la BRICS lina uzito gani katika uchumi wa Dunia? Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandsishi: Caro Robi

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman