1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ADB Annual Conference

14 Mei 2008

Mkutano wa kila mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, ADB, ulifunguliwa jana katika mji mkuu wa Msumbiji, Maputo.

https://p.dw.com/p/Dzrt
Maputo mji mkuu wa Msumbiji kunakofanyika mkutano wa Benki ya Maendeleo ya AfrikaPicha: P. Reategui

Mkuu wa benki hiyo, Donald Kaberuka, alionya kwamba vipimo vinavopanda vya kukua uchumi katika nchi za Afrika havionyeshi taathira katika kupungua viwango vya umaskini katika nchi hizo. Alisema bei zinazopanda za vyakula, upungufu wa nishati na dunia kuwa na ujoto zaidi ni mambo yatakayozingatiwa katika mkutano huo wa siku mbili.

Othman Miraji alizungumza na mwandishi wa habari Emmanuel Camilo, anayehudhuria mkutano huo, na mwanzo alimuelezea juu ya yale yaliomo katika ajenda ya mkutano huo...