1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa ziarani Goma

19 Machi 2014

Mjumbe maalumu Wa katibu mkuu Wa Umoja Wa mataifa katika kanda ya maziwa makuu Bi Mary Robinson, yuko ziarani mjini Goma , mkoani Kivu ya kaskazini Katika jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,

https://p.dw.com/p/1BSEk
Mary Robinson
Mary RobinsonPicha: AP

Ziara yake hio ni kutathmini hatua zilizopigwa kufikia sasa, kufuatia mkataba wa amani katika kanda ya maziwa makuu,uliosainiwa mjini Addis ababa mwaka jana.

Mwandishi wetu John Kanyunyu na ripoti kamili kutoka Beni. Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi