1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mitandao ya kijamii na usingizi kwa vijana

Yusra Abdallah Buwayhid 23 Mei 2016

Matumizi ya mitandao ya kijamii hayaepukiki lakini kweli utaipa nafasi iharibu usingizi wako? Sikiliza maoni ya vijana tofauti juu ya suala hilo

https://p.dw.com/p/1Isya

Msikilize Yusra Buwayhid akiongoza mazungumzo na vijana juu ya namna mitandao ya kijamii inavyoathiri usingizi