Mitandao ya kijamii ilivyotumika uchaguzi wa Kenya | Mada zote | DW | 15.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Mitandao ya kijamii ilivyotumika uchaguzi wa Kenya

Kenya ilifanya uchaguzi wake mkuu tarehe 8 Agosti, kumteua rais mpya ambaye tayari ameshatangazwa kuwa ni Rais Uhuru Kenya. Lakini uchaguzi wa Jumanne ulikuwa tofauti na uchaguzi mwengine wowote ule wa nchini Kenya. Ni uchaguzi ambao mitandao ya kijamii ilikuwa na nafasi kubwa sana kushawishi wananchi na kuwaharibia sifa wapinzani.

Sikiliza sauti 09:47
Sasa moja kwa moja
dakika (0)