1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Miripuko ya Mabomu Dar es Salaam,Tanzania

Kumetokea miripuko mingine katika kambi la Jeshi la Mbagala,jijini Dar es Salaam.

default

Jiji la Dar es Salaam ambapo kumetokea miripuko ya mabomu katika kambi ya Jeshi la Mbagala

Mabomu kadhaa yameripuka tena leo katika eneo la mbagala jijini Dar es Salaam lililokaribu na kambi ya Jeshi na kusababisha vifo vya watoto watatu. Huo ni mripuko wa pili kutokea mahala hapo mwaka huu.

Kutoka Dar es Salaam Mwandishi wetu George Njogopa anaripoti.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 24.09.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/JoG2
 • Tarehe 24.09.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/JoG2